Wo zui mei de mengxiang – Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote (Chinese – Swahili)
Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa – papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake …
Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako?
Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake – na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote.
? Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kichina – Kiswahili)
Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa – papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake …
Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako?
Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake – na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote.
? Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
- Forfatter
- Cornelia Haas
- Oppleser
- Yanxing Wang
- Illustratør
- Cornelia Haas
- Oversetter
- Levina Machenje, Yanxing Wang
- ISBN
- 9783739942612
- Språk
- Kinesisk
- Utgivelsesdato
- 26.1.2022
- Forlag
- Sefa Verlag
- Tilgjengelige elektroniske format
- Epub - Adobe DRM
- Les e-boka her
- E-bokleser i mobil/nettbrett
- Lesebrett
- Datamaskin