Gå direkte til innholdet
Pesa Zako Zinanuka
Pesa Zako Zinanuka
Spar

Pesa Zako Zinanuka

Forfatter:
Swahili
Les i Adobe DRM-kompatibelt e-bokleserDenne e-boka er kopibeskyttet med Adobe DRM som påvirker hvor du kan lese den. Les mer
Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ,No Money Smells,, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai ,zipo, na zanuka,. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: ,Umemuua mwanao ... Lazima umle ... , Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!
Forfatter
R. Mtobwa
ISBN
9789966565969
Språk
Swahili
Utgivelsesdato
7.5.1984
Tilgjengelige elektroniske format
  • Epub - Adobe DRM
Les e-boka her
  • E-bokleser i mobil/nettbrett
  • Lesebrett
  • Datamaskin