Gå direkte til innholdet
Pesa Zako Zinanuka
Spar

Pesa Zako Zinanuka

Forfatter:
pocket, 1993
Swahili

Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, 'No Money Smells', kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai "zipo, na zanuka". Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: "Umemuua mwanao ... Lazima umle ... " Ni riwaya ambayo itakutoa machozi

Forfatter
Ben Mtobwa
ISBN
9789966561572
Språk
Swahili
Vekt
132 gram
Utgivelsesdato
7.5.1993
Antall sider
162