Gå direkte til innholdet
Paka Tabibu
Spar

Paka Tabibu

Forfatter:
pocket, 2019
Swahili

Celesse, the healer cat, is a highly respected member of the neighborhood. As the mistress's favorite cat, she spends lazy days in the warmth of the house.
One snowy night a mother hare rushes in, desperate for help. Reluctantly, the healer cat travels with her through a nighttime snowstorm and biting cold winds. In a dark forest, Celesse comes face-to-face with a scary surprise and is forced to gather her powers for the first time in a while.
---
Kutokana na kipawa chake, Maliwaza, paka tabibu ni mkazi anayeheshimika sana na wanaoishi karibu naye. Kwa kuwa yeye ndiye kipenzi cha matroni, yeye hupenda kutulia akifurahia joto ndani ya nyumba.
Hata hivyo, mama sungura anatokea, huku akitafuta msaada. Kusisitiza kwake kunazidi nguvu kusita kwake paka tabibu, na kumfanya kutembea gizani kwenye theluji na baridi kali. Katika msitu wenye giza, Maliwaza anakutana ana kwa ana na tishio la kushangaza na kumbidi kutumia nguvu zake.

Undertittel
Swahili Edition of The Healer Cat
Forfatter
Tuula Pere
Illustratør
Klaudia Bezak
Oversetter
Alphan Njogu
Opplag
Softcover ed.
ISBN
9789523572423
Språk
Swahili
Vekt
127 gram
Utgivelsesdato
18.8.2019
Antall sider
40