Gå direkte til innholdet
Njama
Njama
Spar

Njama

Forfatter:
Swahili
Les i Adobe DRM-kompatibelt e-bokleserDenne e-boka er kopibeskyttet med Adobe DRM som påvirker hvor du kan lese den. Les mer
Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa. Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini katika mazingira ya kutatanisha. Habari hizi zinaleta utata mwingi, baadhi ya nchi zikisema ni njama za Makaburu, na nyingine zikisema ni njama za Tanzania. Katika kiza kinene kinachozunguka suala hili, serikali ya Tanzania inamtuma Willy Gamba kuwasaka majasusi hawa. Hapo ndipo patashika zinaanza na jiji la Dar es Salaam linakumbwa katika wimbi la msukosuko wa uhaini, usaliti, na mauaji ya kikatili...The four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.
Forfatter
E.A. Musiba
ISBN
9789987449804
Språk
Swahili
Utgivelsesdato
19.11.2018
Tilgjengelige elektroniske format
  • Epub - Adobe DRM
Les e-boka her
  • E-bokleser i mobil/nettbrett
  • Lesebrett
  • Datamaskin