Gå direkte til innholdet
Msichana Anayeweza
Spar

Msichana Anayeweza

Forfatter:
pocket, 2022
Swahili

Martha ni muoga. Anahitaji kuzoeana na marafiki zake darasani, lakini hiyo sivyo namna alivyo. Anataka kuwa shujaa, na mwenye ujasiri lakini hafahamu nini cha kufanya. Baada ya ajali ya kuaibisha, Martha anapitia safari ya kuvutia, kwa msaada wa wazazi wake, waalimu na familia, Martha anajifunza umuhimu wa kujieleza mwenyewe na kwanini ni muhimu kufanya hivyo.

Hiki ni kitabu kizuri cha kuchorwa kinafungua ulimwengu kwa watoto kutafuta kinachowasukuma ndani mwao, huku wakijifunza somo kuu la maisha njiani.

ISBN
9781088021514
Språk
Swahili
Vekt
86 gram
Utgivelsesdato
4.1.2022
Antall sider
38