Gå direkte til innholdet
Kiini Cha Maisha: Kielelezo Cha Mafunzo Bora
Spar

Kiini Cha Maisha: Kielelezo Cha Mafunzo Bora

Gundua njia ya urejesho wa nguvu ya kanisa Kiini cha maisha kinatambua sababu kadhaa zinazoleta kutokua katika kanisa la Kristo na pia kinapendekeza suluhisho madhubuti ya jinsi ya kuleta pamoja uhai wa Mungu katika moyo wa kanisa kupitia uongozi bora na mafundisho. Mafundisho kabambe yanaanza wakati maono ya Bwana, kazi yake, na kanisa yanafanywa kwa njia ambayo watu wa Mungu wanatiwa nguvu na Roho kufanya mapenzi yake.Watu wa Mungu wanapaswa kusisitiza kuwa makanisa, mikutano, mashule na viongozi wafundishe ukweli wa Mungu kwa njia inayoleta mabadiliko na kutia nguvu.
ISBN
9781619930834
Språk
Engelsk
Vekt
367 gram
Utgivelsesdato
1.11.2017
Antall sider
272