Gå direkte til innholdet
Faidika na Methali, Nahau na Vitendawili
Spar

Faidika na Methali, Nahau na Vitendawili

Forfatter:
pocket, 2022
Swahili

FAIDIKA NA METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI ni kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya wanafunzi wa Kenya. Hata hivyo, kinaweza kutumika katika nchi yoyote ya Jumuia ya Afrika Mashariki na penginepo Kiswahili kinapozungumzwa. Katika mkusanyo huu, wanafunzi wa Shule za Msingi pamoja na walimu wao wataweza kufaidika kwa kuwa na kitabu kimoja chenye fani hizi - methali, nahau na vitendawili - zote katika fumbato moja. Msomaji anapokimaliza vyema kitabu hiki atakuwa amejiongezea msamiati na idadi kubwa ya methali, nahau na vitendawili. Aidha, atakuwa mweledi wa lugha ya kisanii (fasihi) kwani ataweza kubaini na kueleza ujumbe uliyomo kwenye methali, nahau na vitendawili, na pia kuzitumia fani hizo katika miktadha mbalimbali

ISBN
9789966478795
Språk
Swahili
Vekt
245 gram
Utgivelsesdato
31.7.2022
Antall sider
148