Gå direkte til innholdet
East of Eden - Swahili Edition
Spar

East of Eden - Swahili Edition

pocket, 2024
Swahili

Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi.

Kifungu hichi, kwanamna nyingine, ni zaidi ya historia ya uhasi wa Kaini. Bali ni ufunuo wa moyo wa Mungu juu ya watu wake kwa ujumla. Tuliumbwa kuishi kwenye Bustani ya Edeni. Lakini dhambi ikaondoa haki ya sisi kukaa katika ukamilifu wa Edeni, Bwana wetu Yesu kristo amerudisha haki hii kwa kifo chake na kufufuka kwaajili yetu. Baraka na haki za Edeni zipo kwa mtu yeyote atakae pokea msamaha kupitia Bwana Yesu.

Undertittel
Kuishi ndani ya kivuri cha Bustani: Somo la Mwanzo 4:16
ISBN
9781927998403
Språk
Swahili
Vekt
77 gram
Utgivelsesdato
29.8.2024
Antall sider
56