Siirry suoraan sisältöön
Watoto wa Mitaani
Tallenna

Watoto wa Mitaani

Kirjailija:
pokkari, 2022
Swahili

Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika hali hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili, hakuna jambo la muhimu ambalo limetekelezwa kulitatua. Mwandishi anaangazia machache kuhusu haki za watoto kwa upande wa malezi na elimu. Vilevile anatoa mapendekezo na jinsi ya kuepukana na hali hizo. Watoto ni rasilmali kubwa ya taifa; ni viongozi wa kesho na

hasa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa katika siku zijazo. Kwa sababu hii, mwandishi anasisitiza umuhimu wa kuanzisha miradi fulani ya kuwasaidia watoto hawa kujitegemea kimaisha. Hivi basi makala haya ni ya muhimu kwa wote wale wanaohusika na tatizo la watoto wa mitaani.

Kirjailija
Peter A Kisia
ISBN
9789966472175
Kieli
Swahili
Paino
73 grammaa
Julkaisupäivä
8.8.2022
Sivumäärä
48