Siirry suoraan sisältöön
  1. Kirjat
  2. Romaanit
  3. Historialliset romaanit

Mtobwa: Pesa Zako Zinanuka

22,20 €

Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ëNo Money Smellsí, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai ìzipo, na zanukaî. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: ìUmemuua mwanao ... Lazima umle ... î Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!

ISBN
9789966565969
Kieli
swahili
Julkaisupäivä
10.1.2023

Mtobwa: Pesa Zako Zinanuka - E-kirja (9789966565969) | Adlibris kirjakauppa