Siirry suoraan sisältöön
Mtu wa Mvua
Tallenna

Mtu wa Mvua

Kirjailija:
pokkari, 2022
Swahili

Dora yumo nyumbani ambamo amelazimika kubaki ili kuwachunga ng'ombe wao kutokana na ukosefu wa mfanyakazi mzuri. Halafu siku moja anamuona mtu anayetembea kwenye mvua bila kuguswa na tone la mvua. Anamshawishi mamaye wamwalike mtu huyu nyumbani. Mgeni anakubali kuandikwa kazi na Dora anarudi shuleni. Mtu huyu, Okungu, anaishia kuwa na vipawa vya ajabu ambavyo vinaisaidia jamii ya akina Dora kwa njia kubwa. Hii ni mojawapo ya hadithi tatu za kusisua zilizomo katika kitabu hiki. Juu ya kusisimua, zina mafunzo kemkem kwa wasomaji.

Kirjailija
Ken Walibora
ISBN
9789966472373
Kieli
Swahili
Paino
54 grammaa
Julkaisupäivä
31.7.2022
Sivumäärä
56