Siirry suoraan sisältöön
Kisa Cha Ziwa Swazilaga
Tallenna

Kisa Cha Ziwa Swazilaga

Kisa hiki ni kisa chenye kusisimua sana na chanye utata mkubwa kuhusu Ziwa Swazilaga. Ziwa hili lilikuwa linapendwa sana na watu wa kila rika ila sasa hivi limegeuka kuwa sehemu ambayo hakuna mtu hata mmoja anapenda kubakia peke yake katika ziwa hili baada ya jua kuzama. Ni nini kilichosibu na kusababisha watu kuwa na hofu kubwa ya ziwa hili zuri hivi? Utata wa hofu hiyo utasisimua watoto na kwafundisha sana kwa vile utata huo uligeuka pasipo kutarajia kuwa na ukweli ndani yake.
Kirjailija
Pauline Mandari
ISBN
9781720911739
Kieli
Swahili
Paino
100 grammaa
Julkaisupäivä
1.6.2018
Sivumäärä
32