Gå direkt till innehållet
Wounded Hearts and Empthy Pews - Swahili Edition
Spara

Wounded Hearts and Empthy Pews - Swahili Edition

Författare:
pocket, 2024
Swahili
Lägsta pris på PriceRunner

Mioyo Iliyojeruhiwa na Mabenchi Tupu Kanisani

- Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao?- Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa?- Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya?- Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima?- Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza? Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, uhakika wa mgawanyiko na mpasuko wa Makanisa kwenye makanisa uko bayana. Majaribio ya somo hili ni kukuchunguza jambo hili kwa upole na kutoa baadhi ya Mwongozo wa Kibiblia wa kulishughulika nakupitia hili mapambano ya kawaida tunayohisi katika kanisa la siku za leo.
Författare
F Wayne Mac Leod
ISBN
9781927998526
Språk
Swahili
Vikt
86 gram
Utgivningsdatum
2024-11-07
Sidor
64