Gå direkt till innehållet
Jealous Anansi - Anansi Mwenye Wivu
Spara

Jealous Anansi - Anansi Mwenye Wivu

Författare:
pocket, 2023
Swahili
Lägsta pris på PriceRunner

Anansi doesn't want to ever share a meal with Turtle, so he tries to find a way to make sure he eats, but Turtle doesn't

Licha ya Sungura kushiriki ardhi yake, Anansi anaichukua kutoka kwake. Huenda sokoni kuuza matunda na mboga zinazokuzwa kwenye shamba lililochukuliwa kutoka kwa Sungura, ambapo Anansi anapata pesa nyingi. Huipeleka nyumbani kwenye kikapu kilichofichwa chini ya mahindi, lakini mvua inaanza kunyesha Huweka kikapu chake kandokando ya barabara, ambapo kinapatikana na Tai. Tai anadai kikapu ni chake kwa sababu alikipata na Chifu na Wazee wanakubaliana na Tai. Sungura anacheka kupoteza kwa Anansi. Anansi angeweza kujifunza nini kutokana na hili?

Your purchase of this book supports Library For All in its mission to make knowledge available to all, equally.

Illustratörer
Wiehan de Jager
ISBN
9781922876270
Språk
Swahili
Vikt
64 gram
Utgivningsdatum
2023-01-10
Sidor
32