Gå direkt till innehållet
Ninang'atuka 2014
Ninang'atuka 2014
Spara

Ninang'atuka 2014

Författare:
Engelska
Lägsta pris på PriceRunner
Läs i Adobe DRM-kompatibel e-boksläsareDen här e-boken är kopieringsskyddad med Adobe DRM vilket påverkar var du kan läsa den. Läs mer
Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzialiyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi. Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulindamaadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha nakufundisha jamii zote. Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili walugha ya Kiswahili kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahilisanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbalimbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani. Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki, mtunzi ameweka kamusi yaKiswahili cha mitaani ili wale wasioelewa Kiswahili cha mitaani wawezekupata burudani kamili wanaposoma ama wanapoimba mashairi yake.
Författare
Dardanus Mfalme
ISBN
9781483689647
Språk
Engelska
Utgivningsdatum
2013-12-26
Förlag
Xlibris Us
Tillgängliga elektroniska format
  • Epub - Adobe DRM
Läs e-boken här
  • E-boksläsare i mobil/surfplatta
  • Läsplatta
  • Dator