Gå direkt till innehållet
Ahadi Iliyotimizwa
Spara

Ahadi Iliyotimizwa

pocket, 2024
Swahili
Lägsta pris på PriceRunner
Diwani hii, licha ya kuwa kwake na tungo chache, 35 kwa ujumla wake, ni kasha lililohifadhi machozi, majonzi na mapenzi ya umma wa Zanzibar na nje kwa mtu ambaye alisimama kama alama na ishara ya utambulisho wao na wa nchi yao. Kadiri walivyoweza, washairi hawa wamekuwa wawakilishi wa wenzao maelfu kwa maelfu ambao hawakuweza kuziweka hisia zao maandikoni kumzika kipenzi chao. Waswahili husema: Nizike ningali hai, kwa maana ya mzee kutaka kusitiriwa na watoto wake ilhali bado ni mzima na sio kumngoja hadi afariki dunia.
ISBN
9781326876135
Språk
Swahili
Vikt
104 gram
Utgivningsdatum
2024-10-27
Förlag
Lulu.com
Sidor
62