Gå direkt till innehållet
Maji Bila Ukomo
Spara

Maji Bila Ukomo

Maji Bila Ukomo ni kitabu cha maarifa kinachoelezea mambo mengi kuhusu maji na matumizi yake nyumbani, viwandani, katika kilimo, katika burdani na katika usafiri.

- Maji ni mangavu

- Hayana rangi na yanapitisha mwanga

- Maji hayana ladha

- Maji hayana harufu.

ISBN
9789987735174
Språk
Swahili
Vikt
118 gram
Utgivningsdatum
2014-01-01
Sidor
56