
Hanna na Wanyama
Hanna anawathamini wanyama. Ana mbwa na paka anaowapenda. Lakini anataka wanyama zaidi. Baba yake atampa ruhusa kuwaweka? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma
- Författare
- Nyambura Mpesha
- ISBN
- 9789966471321
- Språk
- Swahili
- Vikt
- 45 gram
- Utgivningsdatum
- 2022-07-31
- Förlag
- Phoenix Publishers
- Sidor
- 30