Gå direkt till innehållet
5 Ways to Become a Woman with Visions & Hopes: Swahili Edition
Spara

5 Ways to Become a Woman with Visions & Hopes: Swahili Edition

Författare:
Swahili
Je umekata tamaa na huoni thamani yako kama mwanamke? Je kila unachofanya kinashindikana? Kitabu hiki ni maalumu na muhimu kwa mabinti na wanawake wote kwa ujumla. Kama binti na mwanamke, kitakusaidia - Kutambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani - Kutambua wajibu na haki zako - Jinsi ya kuwa mwanamke mwenye furaha, amani na matumaini wakati wote - Utajifunza vitu gani vya kufanya, ili uweze kuwa mwanamke mwenye kupendwa na mama bora kwa familia. Kitabu hiki kitabadilisha maisha yako kama mwanamke, utakuwa mwanamke mwenye kujiamini, kujipenda, kujithamini, na mwenye kufanikiwa katika maisha yako.
Författare
Jacinta J. B.
ISBN
9789976524703
Språk
Swahili
Vikt
136 gram
Utgivningsdatum
2017-12-01
Sidor
94