Søkt på: Bøker av Njiru Kimunyi
totalt 6 treff
Siri ya Sala
Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? …
Mungu Nisaidie
Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, "Mungu nisaidie." Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea …
Kiongozi Hodari
Mwevure ni mvivu kupindukia, jambo linalomfanya aishi maisha hohehahe. Hata hivyo anaishia kuwa mfalme wa nchi yake. Hili latokea vipi? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma
Nyumba ya Sungura
Sungura amejenga nyumba maridadi ili aweze kufanya harusi yake humo. Lakini kuna adui aliyekatalia ndani. Anatafuta usaidizi kwa wanyama wenzake lakini wanashindwa kumfukuza. …
Mlima Kenya Kajifungua
Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda …
Karamu Mbinguni
Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, …