Skjønnlitteratur

Filter
  • Chura na Mjusi

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471338
  • Siri ya Sala

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472557

    Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu?

  • Mfalme Chui Mkatili

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472281

    Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango

  • Ngamia Mpole

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966478702

    Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole.

  • Mama wa Kambo

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472434

    Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaanga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa

  • Sungura na bInti Mfalme

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471291

    Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini

  • Kaponea Chupuchupu

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471383

    Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili

  • Nyani Mdogo

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472243

    Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na

  • Kitu Changu

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471253

    Lona ana kitu anataka kumwonyesha nyanya. Kitu hicho kinamtoa nyanya jasho. Lona anakipenda na kucheza nacho. Kitu hicho ni nini kinamtoa nyanya jasho hivyo? Hiki ni kitabu cha

  • Kinga ya Rushwa

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472410

    Mama amepata mimba wakati kensa ya rushwa imeenea nchini. Hospitali huwezi ukatibiwa bila kutoa hongo; madereva hawajali sheria za barabara kwa sababu watahonga; shuleni hongo