Filter
Kapittelbøker
Filter
Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? …
Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. …
Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango …
Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaanga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa …
Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini …
Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni …
Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili …
John anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake. Kumbe kila hatia ina madhara yake Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto. Hiki ni kitabu cha …
Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia …