Filter
Filter
  • Tusome Familia Yangu

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966479020

    Baba, mama na mwana ni majina ya familia. Baba ni mzazi wa kiume. Mama ni mzazi wa kike. Je, utamwitaje ndugu wa kike? Je, utamwitaje ndugu wa kiume? Kitabu hiki kinafundisha

  • Tusome Mavazi

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966479068

    Kuna mavazi mbalimbali. Jitazame. Umevaa mavazi gani? Soma kitabu hiki ujue majina ya mavazi mbalimbali. Yawe ni ya wakati wa baridi ama ya wakati wa joto. Kuna mavazi ya shambani