Søkt på: Søkeresultat
totalt 67 treff
Mto Usio na Chura
Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia …
Tusome Familia Yangu
Baba, mama na mwana ni majina ya familia. Baba ni mzazi wa kiume. Mama ni mzazi wa kike. Je, utamwitaje ndugu wa kike? Je, utamwitaje ndugu wa kiume? Kitabu hiki kinafundisha …
Nyani Mdogo
Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na …
Kitu Changu
Lona ana kitu anataka kumwonyesha nyanya. Kitu hicho kinamtoa nyanya jasho. Lona anakipenda na kucheza nacho. Kitu hicho ni nini kinamtoa nyanya jasho hivyo? Hiki ni kitabu cha …
Kinga ya Rushwa
Mama amepata mimba wakati kensa ya rushwa imeenea nchini. Hospitali huwezi ukatibiwa bila kutoa hongo; madereva hawajali sheria za barabara kwa sababu watahonga; shuleni hongo …
Kitoweo cha Samaki
Kijana anaipenda samaki na amemvua ngege mkubwa. Rafiki, Dada na Kaka wote wana maoni yao. Atamfuata nani?
Mfalme na Majitu
Mfalme na Majitu ni hadithi inayomhusu mfalme Jaba Nene, kiongozi wa nchi ya Undurubo ambaye kwa ujinga na ansa yake, alikufa kifo cha kutisha.
Kijana Aliyeuza Hekima
Kipi cha muhimu zaidi duniani? Pesa? Nyumba kubwa ama gari kubwa? Katika mojawapo ya ngano katika mkusanyiko huu, kutana na kijana ambaye anauza bidhaa zisizoonekana...Kijana …
Chura Mcheza Ngoma
Twende Safari Ziwani
Mzee Bakari ni mvuvi hodari. Anakumbana na samaki wa ajabu katika Ziwa Viktoria. Mvuvi huyu atamvua samaki huyo wa ajabu? Atamfanya kitoweo? Soma hadithi hii ya Twende Safari …
Kishu Kazi
Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu "Kishu kazi, kuna siku kindapata …
Penzi la Damu
Mstahamilivu hula mbivu, mtaka cha uvunguni sharti ainame, na mchumia juani hulia kivulini. Ni machache ya maadili yamuongozayo binti Malaika katika safari yake ya kutimiza ndoto …