Allmän skönlitteratur
Filter
Hadithi hii ya kusisimua imesimuliwa na mtoto wa darasa la kwanza, msichana ambaye anapata njia ya kumchangamsha mama yake na kumfanya atabasamu. Hakuna kitu kinachoweza kuwa cha …
Majira ya baridi huwa ya furaha na majira haya hupendeza na ya kucheza kwenye barafu, lakini Jimmy sungura mdogo hakujitayarisha kwa ajili ya baridi. Alipojifunza jinsi ya kuwa …
Jimmy hapendi kupiga mswaki. Hata mama yake anapompa mswaki mpya kabisa wa rangi ya chungwa, rangi anayopenda zaidi, haitumii jinsi anavyopaswa. Lakini wakati mambo ya ajabu na ya …
Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. …
Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama …
Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa …