Filter
Sagor & sägner
Filter
Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini …
Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni …
Kuza furaha ya asili na 'Tommy na Mbegu Ndogo'. Haditi hii ya kuvutia inawaalika wasomaji wachanga, wenye umri wa miaka 0 hadi 5, katika ulimwengu ambapo Tommy, mvulana mdogo …
Humans destroy all but one sun, who hides behind a hill. Only the rooster can call it to shine again. Wanadamu huharibu wote isipokuwa jua moja, ambalo hujificha nyuma ya kilima. …
Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia …
Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na …
Lona ana kitu anataka kumwonyesha nyanya. Kitu hicho kinamtoa nyanya jasho. Lona anakipenda na kucheza nacho. Kitu hicho ni nini kinamtoa nyanya jasho hivyo? Hiki ni kitabu cha …
Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango …
Anansi the spider doesn't want to make his own food, instead he eats the food his friends make. What lesson will he learn when he ties himself to each friends' food with …
Mfalme na Majitu ni hadithi inayomhusu mfalme Jaba Nene, kiongozi wa nchi ya Undurubo ambaye kwa ujinga na ansa yake, alikufa kifo cha kutisha.