Filter
Läromedel
Filter
Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama …
Ni wakati wa kulala, lakini Alice hataki kwenda kulala bado. Kwa kupitia ratiba yake ya kulala, Mama anamtuliza binti yake kwa kumkumbusha mambo yote mazuri waliyofanya pamoja …
Urafiki ni nini? Jiunge na marafiki watatu wazuri wanapogundua maana ya urafiki wa kweli. Wanaanza mbio, lakini wanaamua kumaliza pamoja, kusaidia rafiki ambaye alipata shida. …
Jimmy sungura mdogo kaingia kwenye matatizo. kwa bahati mbaya, aliharibu maua ya mama anayoyapenda. je itasaidia akidanganya? au ni bora kusema ukweli na kujaribu kutatua tatizo …
Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu …