Filter
Kropp & hälsa
Filter
Jimmy hapendi kupiga mswaki. Hata mama yake anapompa mswaki mpya kabisa wa rangi ya chungwa, rangi anayopenda zaidi, haitumii jinsi anavyopaswa. Lakini wakati mambo ya ajabu na ya …
Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote …
Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu …
Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa …