Filter
Kapitelböcker
Filter
Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu …
Jimmy sungura mdogo kaingia kwenye matatizo. kwa bahati mbaya, aliharibu maua ya mama anayoyapenda. je itasaidia akidanganya? au ni bora kusema ukweli na kujaribu kutatua tatizo …
Majira ya baridi huwa ya furaha na majira haya hupendeza na ya kucheza kwenye barafu, lakini Jimmy sungura mdogo hakujitayarisha kwa ajili ya baridi. Alipojifunza jinsi ya kuwa …
Jimmy sungura mdogo hakujua kuendesha baiskeli kubwa kama ya ndugu zake. Kwa kweli mara nyingine yeye hutaniwa. Wakati baba anapomwonyesha jimmy jinsi ya kutoogopa kujaribu jambo …
Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama …
Urafiki ni nini? Jiunge na marafiki watatu wazuri wanapogundua maana ya urafiki wa kweli. Wanaanza mbio, lakini wanaamua kumaliza pamoja, kusaidia rafiki ambaye alipata shida. …