Filter
Mfumo tawala umeendelea kutawala Watanzania kwa nguvu kwa sababu ya hofu, na sasa nawaambia Watanzania wajue kuwa hawana sababu ya kuhofu mfumo huo tena kwani wao ndio wanaouweka …
Kitabu hichi ni kidoto kisichokua na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye kuelezea upande mwengine kabisa wa hadithi ya Mapinduzi ya Zanzibar na historia ya Jamhuri ya …
Kitabu hiki, Pemba: Muhanga wa Siasa, kinajaribu kwa mara ya kwanza kabisa kuchambuwa tatizo la ubaguzi wa kijamii ambalo huwa halisemwi kwa uwazi ndani ya visiwa vya Zanzibar, na …