Filter
Fakta
Filter
Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaanga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa …
Je, ni baraka zipi unazozipata kuwa na kaka mapacha?Kila kitu ni maradufu - kicheko maradufu na shida maradufu.Kando na vielelezo vya kuchangamsha moyo, hadithi hiyoinafunua upendo …
Baba, mama na mwana ni majina ya familia. Baba ni mzazi wa kiume. Mama ni mzazi wa kike. Je, utamwitaje ndugu wa kike? Je, utamwitaje ndugu wa kiume? Kitabu hiki kinafundisha …
Na ikiwa unaweza kurudi nyuma kwa wakati ?Pamoja na kitabu hiki, ninawaalika kuchukua hatua za nyuma, ili uweze kujua jinsi urithi wako ni mkubwa Malkia, Mfalme, shujaa na shujaa, …
"The story, both familiar and fresh, is a clever example of how fables can enlarge our world view." - A. Ashbrook, Librarian, Long Hill, NJ How will The Three Little Sun Bears …
Maelezo ya KitabuChuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei …
Kuna mavazi mbalimbali. Jitazame. Umevaa mavazi gani? Soma kitabu hiki ujue majina ya mavazi mbalimbali. Yawe ni ya wakati wa baridi ama ya wakati wa joto. Kuna mavazi ya shambani …
Kemunto ana vipawa ajabu katika utunzi na uimbaji wa mashairi. Anaelekea kutambulika katika wilaya na mkoa...hadi anapokutana naye Makena, kijana wa kitajiri aliyedekezwa na wazazi …
"The story, both familiar and fresh, is a clever example of how fables can enlarge our world view." - A. Ashbrook, Librarian, Long Hill NJ How will The Three Little Howlers escape …