Engelska: läsning & skrivning
Filter
Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu …
Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote …
Hii ni hadithi inayogusa moyo ya urafiki kati ya mbwa na kijana mdogo.Wakati mmoja wao anahitaji msaada, daima wako hapo kwa ajili ya kila mmoja wao. Hii ndiyo maana halisi ya …
Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa …
Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. …
Jimmy hapendi kupiga mswaki. Hata mama yake anapompa mswaki mpya kabisa wa rangi ya chungwa, rangi anayopenda zaidi, haitumii jinsi anavyopaswa. Lakini wakati mambo ya ajabu na ya …
Alex anaona ni vigumu kupata usingizi, hivyo basi anaanza kutoa visingizio. Baada ya kusoma hadithi ya kulala, baba yake anapendekeza wafanye mpango wa ndoto ambayo angependa kuota …
Freddie yule mbweha mjanja hakutaka kuwa chakula cha jioni, na kwa hivyo akauda mpango wa busara