Filter
  • Nyani Mdogo

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472243

    Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na

  • Mfalme Chui Mkatili

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472281

    Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango

  • Kujifunza kuhusu urithi wangu

    av

    inbunden, 2022, Swahili, ISBN 9782493538048

    Na ikiwa unaweza kurudi nyuma kwa wakati ?Pamoja na kitabu hiki, ninawaalika kuchukua hatua za nyuma, ili uweze kujua jinsi urithi wako ni mkubwa Malkia, Mfalme, shujaa na shujaa,

  • Mungu Nisaidie

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471451

    Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, "Mungu nisaidie." Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea

  • Pili Pilipili

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471314

    Pili Pilipili ni paka mdaku. Hataki kuwakamata panya. Hataki kula nyama. Yake ni kula pilipili kali kila siku. Atafanywa nini aache udaku? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma.

  • Chura na Mjusi

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471338