Søkt på: Bøker av Nyambura Mpesha
totalt 18 treff
Kamuniak and Ori
Ori the baby oryx has just been born. His mother has to run away to save herself from Kamuniak the lioness. What will happen to poor Ori in the wild?
A Puppy named Trep
Mose has one big desire: to have a dog, the animal pet that he loves most. Then one day Daddy surprises him with a present, a puppy. Mose names the puppy Trep. What kind of puppy …
Pili Pilipili
Pili Pilipili ni paka mdaku. Hataki kuwakamata panya. Hataki kula nyama. Yake ni kula pilipili kali kila siku. Atafanywa nini aache udaku? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma. …
Kuku na Mwewe
Kuku anakumbana na matatizo kadhaa ambayo yanamfanya kuishi katika hali ya wasiwasi hasa kutokana na vitisho vya Mwewe. Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma.
Hanna na Wanyama
Hanna anawathamini wanyama. Ana mbwa na paka anaowapenda. Lakini anataka wanyama zaidi. Baba yake atampa ruhusa kuwaweka? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma
Marafiki wa Pela
Pela anawapenda wanyama. Siku moja mvua kubwa inanyesha na kuangusha mti mkubwa nje ya nyumba yao. Asubuhi Pela anatengeneza nyumba kutokana na matawi na majani ya mti huu na …