Filter
Spenning
Filter
Kwa azimio la " Roald Dahl and the Twits", David Downie anaandika mkasa wa kutisha uliowakumba David na mbwa wake Jacko, na jinsi walivyo pambana na msafishaji bwana Sniggles na …
Lona ana kitu anataka kumwonyesha nyanya. Kitu hicho kinamtoa nyanya jasho. Lona anakipenda na kucheza nacho. Kitu hicho ni nini kinamtoa nyanya jasho hivyo? Hiki ni kitabu cha …
Mama amepata mimba wakati kensa ya rushwa imeenea nchini. Hospitali huwezi ukatibiwa bila kutoa hongo; madereva hawajali sheria za barabara kwa sababu watahonga; shuleni hongo …
Kijana anaipenda samaki na amemvua ngege mkubwa. Rafiki, Dada na Kaka wote wana maoni yao. Atamfuata nani?
Mfalme na Majitu ni hadithi inayomhusu mfalme Jaba Nene, kiongozi wa nchi ya Undurubo ambaye kwa ujinga na ansa yake, alikufa kifo cha kutisha.
Kipi cha muhimu zaidi duniani? Pesa? Nyumba kubwa ama gari kubwa? Katika mojawapo ya ngano katika mkusanyiko huu, kutana na kijana ambaye anauza bidhaa zisizoonekana...Kijana …
Mzee Bakari ni mvuvi hodari. Anakumbana na samaki wa ajabu katika Ziwa Viktoria. Mvuvi huyu atamvua samaki huyo wa ajabu? Atamfanya kitoweo? Soma hadithi hii ya Twende Safari …
Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu "Kishu kazi, kuna siku kindapata …