Filter
Spenning
Filter
Vusi's sister is getting married today But Vusi is having no luck on getting things ready. What will Vusi's sister say?Dada yake Vusi anaolewa leo Lakini Vusi hana bahati ya …
Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni …
The Swahili edition of a warm story about circus, dogs, and dementia. A seasoned circus dog is growing old and tricks are getting difficult. Luckily the new puppy, Rolly, is a …
Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili …
John anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake. Kumbe kila hatia ina madhara yake Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto. Hiki ni kitabu cha …
Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia …
Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na …
Kwa azimio la " Roald Dahl and the Twits", David Downie anaandika mkasa wa kutisha uliowakumba David na mbwa wake Jacko, na jinsi walivyo pambana na msafishaji bwana Sniggles na …