Filter
Spenning
Filter
Roscoe, a seasoned circus dog, is growing old. Tricks he once performed with ease are getting difficult. Luckily the new puppy, Rolly, is a quick learner. She helps out her old …
Colin the Crab, the most skillful builder on the eastern riverbank, never hesitates to help his friends. Now Colin is busy with his own new project-a garden pavilion for his home. …
Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango …
Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? …
Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. …
Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu …
KISWAHILI EDITION Kwa azimio la "Roald Dahl na Mfalme Stephen", David Downie anaandika mkasa wa kutisha uliowakumba David na mbwa wake Jacko, na jinsi walivyo pambana na jitu …
Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaanga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa …