Filter
Spenning
Filter
Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu …
Vusi's sister is getting married today But Vusi is having no luck on getting things ready. What will Vusi's sister say?Dada yake Vusi anaolewa leo Lakini Vusi hana bahati ya …
Moving to the big city can feel scary but it also is very exciting Let's find out how this boy moves to the big city to see his uncle.Kuhamia jiji kubwa kunaweza kuogopesha lakini …
Mwevure ni mvivu kupindukia, jambo linalomfanya aishi maisha hohehahe. Hata hivyo anaishia kuwa mfalme wa nchi yake. Hili latokea vipi? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma
Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na …
Lona ana kitu anataka kumwonyesha nyanya. Kitu hicho kinamtoa nyanya jasho. Lona anakipenda na kucheza nacho. Kitu hicho ni nini kinamtoa nyanya jasho hivyo? Hiki ni kitabu cha …
Idadi ya watu wanaokufa kila mwaka nchini Kenya kutokana na ajali za barabarani ni kubwa mno, kiasi kwamba ni lazima kila mtu ahusishwe katika kulitafutia tatizo hili suluhisho. …
Bwana Leo Odera Omolo ambaye alikusanya hadithi hizi ni mmoja kati ya waliojitolea kurekebisha kazi ya utumiaji wa lugha ya Kiswahili; nalo hili ni toleo la aina ya kusisimua, …
Kitabu hiki kimeandikwa hususan kwa watoto ili kuwasaidia kwa matamshi na mtiririko wa maneno. Kinafunza siku za juma na miezi ya mwaka kupitia mashairi na uwiano wa mancno. Zaidi …