Filter
Kapittelbøker
Filter
Je, ni baraka zipi unazozipata kuwa na kaka mapacha?Kila kitu ni maradufu - kicheko maradufu na shida maradufu.Kando na vielelezo vya kuchangamsha moyo, hadithi hiyoinafunua upendo …
Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango …
Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? …
Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. …
Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaanga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa …
Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini …
Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni …
Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili …
John anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake. Kumbe kila hatia ina madhara yake Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto. Hiki ni kitabu cha …