Kapittelbøker

Filter
  • Chura na Mjusi

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471338
  • Mfalme Chui Mkatili

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472281

    Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango

  • Siri ya Sala

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472557

    Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu?

  • Ngamia Mpole

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966478702

    Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole.

  • Mama wa Kambo

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966472434

    Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaanga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa

  • Sungura na bInti Mfalme

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471291

    Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini

  • Ujeuri wa Mbwa

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471390

    Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni

  • Kaponea Chupuchupu

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966471383

    Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili

  • Asiyesikia la Mkuu

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966154606

    John anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake. Kumbe kila hatia ina madhara yake Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto. Hiki ni kitabu cha

  • Mto Usio na Chura

    av

    pocket, 2022, Swahili, ISBN 9789966478481

    Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia