Filter
Afrika
Filter
Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango …
Profesa Kithaka wa Mberia anafundisha na kufanya utafiti katika Idara ya Isimu na Lugha, Chuo Kikuu cha Nairobi, Nairobi, Kenya. Mbali na kufundisha na kufanya utafiti, …
Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na …
On 20th January 1964, at the Colito Army Barracks just outside Dar es salaam, 15 officers of the Tanganyika Army that was inherited from the colonial state led a mutiny against the …
Na ikiwa unaweza kurudi nyuma kwa wakati ?Pamoja na kitabu hiki, ninawaalika kuchukua hatua za nyuma, ili uweze kujua jinsi urithi wako ni mkubwa Malkia, Mfalme, shujaa na shujaa, …
Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, "Mungu nisaidie." Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea …
Pili Pilipili ni paka mdaku. Hataki kuwakamata panya. Hataki kula nyama. Yake ni kula pilipili kali kila siku. Atafanywa nini aache udaku? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma. …